Mwanzo 38:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 naye akapata mimba, na akamzaa mwana, aliyeitwa jina Eri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri. Tazama sura |