Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 38:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Ikawa aliporudisha mkono wake, tazama, ndugu yake akatoka. Akasema, Mbona umepita kwa nguvu wewe? Mambo ya nguvu na yakuandame. Kwa hiyo jina lake likaitwa Peresi

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Lakini huyo mtoto alipourudisha mkono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Mkunga akasema, “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Lakini huyo mtoto alipourudisha mkono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Mkunga akasema, “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Lakini huyo mtoto alipourudisha mkono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Mkunga akasema, “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Lakini alipourudisha mkono wake, ndugu yake akatangulia kutoka, naye mkunga akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 38:29
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mkunga akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.


Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.


Na Tamari, mkwewe, akamzalia Peresi, na Zera. Wana wote wa Yuda ni watano.


Uthai, mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imli, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda.


Tena wakakaa Yerusalemu wengine wa wana wa Yuda, na wengine wa wana wa Benyamini. Wa wana wa Yuda; Athaya, mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, wa wana wa Peresi;


Wana wa Peresi wote waliokaa Yerusalemu walikuwa watu mia nne sitini na wanane, mashujaa.


Na wana wa Yuda kwa jamaa zao; wa Shela, jamaa ya Washela; wa Peresi, jamaa ya Waperesi; wa Zera, jamaa ya Wazera.


Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;


wa Aminadabu, wa Admini, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,


Nyumba yako na ifanane na nyumba yake Peresi, ambaye Tamari alimzalia Yuda, kwa wazao atakaokupa BWANA katika mwanamke huyu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo