Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mwanzo 38:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mkunga akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Basi, alipopata uchungu wa kuzaa pacha mmojawapo alitoa mkono nje, naye mkunga akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema, “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Basi, alipopata uchungu wa kuzaa pacha mmojawapo alitoa mkono nje, naye mkunga akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema, “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Basi, alipopata uchungu wa kuzaa pacha mmojawapo alitoa mkono nje, naye mkunga akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema, “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo mkunga akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto, akasema, “Huyu ametoka kwanza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo mkunga akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto, akasema, “Huyu ametoka kwanza.”

Tazama sura Nakili

Mwanzo 38:28
3 Marejeleo ya Msalaba  

Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.

Ikawa, wakati wake wa kuzaa walikuwapo mapacha tumboni mwake.

Ikawa aliporudisha mkono wake, tazama, ndugu yake akatoka. Akasema, Mbona umepita kwa nguvu wewe? Mambo ya nguvu na yakuandame. Kwa hiyo jina lake likaitwa Peresi

Tufuate:

Matangazo

Matangazo