Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mwanzo 38:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Ikawa, wakati wake wa kuzaa walikuwapo mapacha tumboni mwake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Wakati wa kujifungua kwake Tamari ulipofika, ikafahamika kuwa alikuwa na mimba ya mapacha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Wakati wa kujifungua kwake Tamari ulipofika, ikafahamika kuwa alikuwa na mimba ya mapacha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Wakati wa kujifungua kwake Tamari ulipofika, ikafahamika kuwa alikuwa na mimba ya mapacha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Wakati ulipofika wa kujifungua, kukawa na wana mapacha tumboni mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Wakati ulipofika wa kujifungua, kukawa na wana mapacha tumboni mwake.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 38:27
2 Marejeleo ya Msalaba  

Siku zake za kuzaa zilipotimia, tazama! Mapacha walikuwamo tumboni mwake.

Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mkunga akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo