Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 38:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Huyo Tamari akapewa habari, kusema, Mkweo anakwenda Timna, akate manyoya ya kondoo wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani akielekea Timna kukata kondoo wake manyoya,”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani kwenda Timna kukata kondoo wake manyoya,”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 38:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Labani alikuwa amekwenda kuwakata manyoya kondoo zake, na Raheli akaviiba vinyago vya babaye.


Na Tamari, mkwewe, akamzalia Peresi, na Zera. Wana wote wa Yuda ni watano.


kisha mpaka ukazunguka kutoka Baala kwendelea upande wa magharibi hadi kilima Seiri, kisha ukaendelea hadi upande wa mlima wa Yearimu upande wa kaskazini (huo ndio Kesaloni), kisha ukateremkia Beth-shemeshi, na kwendelea karibu na Timna;


Kaini, Gibea na Timna; miji kumi, pamoja na vijiji vyake.


Samsoni akateremka hadi Timna, akaona mwanamke huko Timna, mmojawapo wa binti za Wafilisti.


Na huko Maoni kulikuwa na mtu mmoja, ambaye alikuwa na mali yake katika Karmeli; naye yule mtu alikuwa tajiri sana, mwenye kondoo elfu tatu na mbuzi elfu moja; naye alikuwa akiwakata manyoya kondoo wake huko Karmeli.


Basi Daudi akasikia huko nyikani ya kuwa Nabali alikuwa akiwakata manyoya kondoo wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo