Mwanzo 37:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Nao Wamidiani wakamuuza huko Misri, kwa Potifa, mmoja wa maofisa wa Farao, mkuu wa askari walinzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Wakati huo, kule Misri, wale Wamidiani walimwuza Yosefu kwa mtu aitwaye Potifa, mmoja wa maofisa wa Farao, ambaye alikuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Wakati huo, kule Misri, wale Wamidiani walimwuza Yosefu kwa mtu aitwaye Potifa, mmoja wa maofisa wa Farao, ambaye alikuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Wakati huo, kule Misri, wale Wamidiani walimwuza Yosefu kwa mtu aitwaye Potifa, mmoja wa maofisa wa Farao, ambaye alikuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Basi Wamidiani wakamuuza Yusufu huko Misri kwa Potifa, mmoja wa maafisa wa Farao, aliyekuwa mkuu wa walinzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Wakati ule ule, Wamidiani wakamuuza Yusufu huko Misri kwa Potifa, mmojawapo wa maafisa wa Farao, aliyekuwa mkuu wa ulinzi. Tazama sura |