Mwanzo 37:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Akarudi kwa ndugu zake, akasema, Mtoto hayuko, nami niende wapi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 akawaendea ndugu zake, akawaambia, “Kijana hayupo nami niende wapi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 akawaendea ndugu zake, akawaambia, “Kijana hayupo nami niende wapi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 akawaendea ndugu zake, akawaambia, “Kijana hayupo nami niende wapi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Akawarudia ndugu zake na kusema, “Kijana hayuko mle! Nielekee wapi sasa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Akawarudia ndugu zake na kusema, “Kijana hayuko mle! Nielekee wapi sasa?” Tazama sura |