Mwanzo 37:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 wakamtwaa wakamtupa katika shimo; na hilo shimo ilikuwa tupu, hamna maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Kisha wakamshika na kumtupa shimoni. Lakini shimo hilo halikuwa na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Kisha wakamshika na kumtupa shimoni. Lakini shimo hilo halikuwa na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Kisha wakamshika na kumtupa shimoni. Lakini shimo hilo halikuwa na maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kisha wakamchukua, wakamtupa katika shimo. Hilo shimo lilikuwa tupu, halikuwa na maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kisha wakamchukua wakamtupa katika shimo. Wakati huo shimo lilikuwa tupu, halikuwa na maji ndani yake. Tazama sura |