Mwanzo 37:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Yule mtu akasema, Wametoka hapa, maana niliwasikia wakisema, Twendeni Dothani. Basi Yusufu akawafuata ndugu zake akawakuta huko Dothani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Yule mtu akamwambia, “Bila shaka wamekwisha ondoka, kwa sababu niliwasikia wakisema kwamba wanakwenda Dothani.” Basi, Yosefu akawafuata ndugu zake, akawakuta huko Dothani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Yule mtu akamwambia, “Bila shaka wamekwisha ondoka, kwa sababu niliwasikia wakisema kwamba wanakwenda Dothani.” Basi, Yosefu akawafuata ndugu zake, akawakuta huko Dothani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Yule mtu akamwambia, “Bila shaka wamekwisha ondoka, kwa sababu niliwasikia wakisema kwamba wanakwenda Dothani.” Basi, Yosefu akawafuata ndugu zake, akawakuta huko Dothani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Yule mtu akajibu, “Wamehama hapa. Nilisikia wakisema, ‘Twendeni Dothani.’ ” Kwa hiyo Yusufu akawafuatilia ndugu zake na kuwakuta karibu na Dothani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yule mtu akajibu, “Wamehama hapa. Nilisikia wakisema, ‘Twende Dothani.’ ” Kwa hiyo Yusufu akawafuatilia ndugu zake na kuwakuta karibu na Dothani. Tazama sura |