Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 37:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Ndugu zake wakaenda kuchunga kondoo za baba yao huko Shekemu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Siku moja, ndugu zake Yosefu walikwenda kuchunga wanyama wa baba yao karibu na Shekemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Siku moja, ndugu zake Yosefu walikwenda kuchunga wanyama wa baba yao karibu na Shekemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Siku moja, ndugu zake Yosefu walikwenda kuchunga wanyama wa baba yao karibu na Shekemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Basi ndugu zake walikuwa wameenda kuchunga makundi ya baba yao karibu na Shekemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Basi, ndugu zake walikuwa wamekwenda kuchunga makundi ya baba yao karibu na Shekemu,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 37:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yakobo akaja kwa amani mpaka katika mji wa Shekemu, ulio katika nchi ya Kanaani, alipokuja kutoka Padan-aramu; akapiga kambi mbele ya huo mji.


Yakobo akakaa katika nchi aliyosafiri baba yake, katika nchi ya Kanaani.


Ndugu zake wakamhusudu; bali baba yake akalihifadhi neno hili.


Israeli akamwambia Yusufu, Je! Ndugu zako hawachungi kondoo katika Shekemu? Njoo, nikutume kwao. Akamwambia, Mimi hapa.


Semeni, Watumishi wako tumekuwa wachunga wanyama tangu ujana wetu, na hata leo, sisi, na baba zetu; mpate kukaa katika nchi ya Gosheni; maana kila mchunga wanyama ni chukizo kwa Wamisri.


wakafika watu kadhaa toka Shekemu, na toka Shilo, na toka Samaria, watu themanini, nao wamenyoa ndevu zao, na kurarua nguo zao, nao wamejikatakata, wakichukua sadaka na ubani mikononi mwao, ili wazilete nyumbani kwa BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo