Mwanzo 36:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Esau akakaa katika mlima Seiri, Esau ndiye Edomu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kwa hiyo, Esau akaenda kukaa katika nchi ya milima ya Seiri. Jina lingine la Esau ni Edomu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kwa hiyo, Esau akaenda kukaa katika nchi ya milima ya Seiri. Jina lingine la Esau ni Edomu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kwa hiyo, Esau akaenda kukaa katika nchi ya milima ya Seiri. Jina lingine la Esau ni Edomu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya vilima ya Seiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri. Tazama sura |