Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 36:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Oholibama alizaa Yeushi, na Yalamu, na Kora. Hao ndio wana wa Esau aliozaliwa katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Oholibama alimzalia Yeushi, Yalamu na Kora. Hao ndio watoto wa kiume wa Esau ambao wake zake walimzalia alipokaa katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Oholibama alimzalia Yeushi, Yalamu na Kora. Hao ndio watoto wa kiume wa Esau ambao wake zake walimzalia alipokaa katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Oholibama alimzalia Yeushi, Yalamu na Kora. Hao ndio watoto wa kiume wa Esau ambao wake zake walimzalia alipokaa katika nchi ya Kanaani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Oholibama akawazaa Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wana wa Esau waliozaliwa kwake huko Kanaani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wana wa Esau waliozaliwa kwake huko Kanaani.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:5
6 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Isaka akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake, ni mzee, ameshiba siku. Esau na Yakobo, wanawe, wakamzika.


Na hawa ni wana wa Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, mkewe Esau; akamzalia Esau, Yeushi, na Yalamu, na Kora.


Na hawa ni wana wa Oholibama, mkewe Esau; jumbe Yeushi, jumbe Yalamu, jumbe Kora. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Oholibama, binti Ana, mkewe Esau.


Ada akamzalia Esau Elifazi; na Basemathi alizaa Reueli.


Esau akawatwaa wakeze, na wanawe, na binti zake, na watu wote wa nyumbani mwake, na ng'ombe zake, na wanyama wake wote, na mali yake yote, aliyoyapata katika nchi ya Kanaani; akaenda mpaka nchi iliyo mbali na Yakobo nduguye.


Wana wa Esau; Elifazi, na Reueli, na Yeushi, na Yalamu, na Kora.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo