Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mwanzo 36:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

39 Akafa Baal-hanani, mwana wa Akbori, akamiliki Hadadi badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Baal-hanani, mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi alitawala badala yake, na jina la mji wake likiwa Pau. Mkewe Akbori alikuwa Mehetabeli, binti Matredi na mjukuu wa Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Baal-hanani, mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi alitawala badala yake, na jina la mji wake likiwa Pau. Mkewe Akbori alikuwa Mehetabeli, binti Matredi na mjukuu wa Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Baal-hanani, mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi alitawala badala yake, na jina la mji wake likiwa Pau. Mkewe Akbori alikuwa Mehetabeli, binti Matredi na mjukuu wa Mezahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 36:39
5 Marejeleo ya Msalaba  

na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.

Akafa Shauli, akamiliki Baal-hanani, mwana wa Akbori, badala yake.

Na hayo ndiyo majina ya majumbe waliotoka kwa Esau, kufuata jamaa zao, na mahali pao, kwa majina yao. Jumbe Timna, jumbe Alva, jumbe Yethethi,

Baal-Hanani akafa, naye Hadadi akatawala badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

Ndipo majumbe wa Edomu wakashangaa, Watu wa Moabu wenye nguvu tetemeko limewapata, Watu wote wakaao Kanaani wameyeyuka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo