Mwanzo 36:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Akafa Samla, na Shauli wa Rehobothi, ulio karibu na mto, akamiliki badala yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi, ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi, ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi, ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. Tazama sura |