Mwanzo 36:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Akafa Hadadi, akamiliki Samla wa Masreka badala yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka, alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka, alitawala badala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka, alitawala badala yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. Tazama sura |