Mwanzo 36:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Bela wa Beori alimiliki katika Edomu, na jina la mji wake ni Dinhaba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. Tazama sura |