Mwanzo 36:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 jumbe Dishoni, jumbe Eseri jumbe Dishani. Hao ndio majumbe waliotoka katika Wahori, kwa habari za majumbe yao, katika nchi ya Seiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Dishoni, Eseri na Dishani; kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake katika nchi ya Seiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Dishoni, Eseri na Dishani; kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake katika nchi ya Seiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Dishoni, Eseri na Dishani; kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake katika nchi ya Seiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Dishoni, Eseri na Dishani. Hao walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri. Tazama sura |