Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 36:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Hawa ni wana wa Seiri, Mhori, wenyeji wa nchi ile; Lotani, na Shobali, na Sibeoni, na Ana,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Wafuatao ni wazawa wa Seiri, Mhori, na ndio wenyeji wa nchi hiyo: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Wafuatao ni wazawa wa Seiri, Mhori, na ndio wenyeji wa nchi hiyo: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Wafuatao ni wazawa wa Seiri, Mhori, na ndio wenyeji wa nchi hiyo: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Hawa walikuwa wana wa Seiri Mhori, walioishi katika nchi ile: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Hawa ndio walikuwa wana wa Seiri, Mhori, waliokuwa wakiishi katika nchi ile: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

na Wahori katika mlima wao Seiri, mpaka Elparani iliyo karibu na jangwa.


Hao ni wana wa Esau, na hao ndio majumbe wao; naye Esau ndiye Edomu.


Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;


na Dishoni, na Eseri, na Dishani. Hao ndio majumbe waliotoka katika Wahori, wana wa Seiri, katika nchi ya Edomu.


Na Wahori nao walikuwa wakikaa Seiri hapo kale, lakini wazawa wa Esau waliwafuata; wakawaangamiza mbele yao, wakakaa badala yao; kama alivyofanya Israeli nchi ya milki yake aliyopewa na BWANA.)


kama vile alivyowafanyia wana wa Esau, waliokaa Seiri, alipowaangamiza Wahori mbele yao; wakawafuata, wakakaa badala yao hadi hivi leo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo