Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 36:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Hao ni wana wa Esau, na hao ndio majumbe wao; naye Esau ndiye Edomu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Basi, hao ndio wazawa wa Esau yaani Edomu, kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Basi, hao ndio wazawa wa Esau yaani Edomu, kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Basi, hao ndio wazawa wa Esau yaani Edomu, kila mmoja wao akiwa mkuu wa kabila lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Hao walikuwa wana wa Esau (ndiye Edomu), na hao walikuwa wakuu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Hawa ndio waliokuwa wana wa Esau (ndiye Edomu), na hawa ndio waliokuwa wakuu wao.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:19
5 Marejeleo ya Msalaba  

Esau akamwambia Yakobo, Tafadhali, unipe hicho chakula chekundu nile, kwa kuwa ninazimia mimi. Kwa hiyo walimwita jina lake Edomu.


Na hawa ni wana wa Oholibama, mkewe Esau; jumbe Yeushi, jumbe Yalamu, jumbe Kora. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Oholibama, binti Ana, mkewe Esau.


Hawa ni wana wa Seiri, Mhori, wenyeji wa nchi ile; Lotani, na Shobali, na Sibeoni, na Ana,


Esau akakaa katika mlima Seiri, Esau ndiye Edomu.


Basi Sauli alipokwisha kuutwaa ufalme juu ya Israeli, alipigana na adui zake wote pande zote, juu ya Moabu, na juu ya wana wa Amoni, na juu ya Edomu, na juu ya wafalme wa Soba, na juu ya Wafilisti; na popote alipogeukia, akawashinda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo