Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 36:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Elifazi alikuwa na suria jina lake Timna. Huyu alimzalia mwana, jina lake Amaleki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Elifazi alikuwa na suria jina lake Timna. Huyu alimzalia mwana, jina lake Amaleki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Elifazi alikuwa na suria jina lake Timna. Huyu alimzalia mwana, jina lake Amaleki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, aliyemzalia Amaleki. Hao walikuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, ambaye alimzalia Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:12
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha wakarudi wakaja mpaka Enmisfati, ndio Kadeshi, wakapiga nchi yote ya Waamaleki, na Waamori waliokaa Hasason-tamari.


Na wana wa Elifazi, ni Temani na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi.


Na hawa ni wana wa Reueli: Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.


Na wana wa Lotani, ni Hori, na Hemamu; na dada yake Lotani ni Timna.


Wana wa Elifazi; Temani, na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi, na, kwa Timna, Amaleki.


Usimchukie Mwedomi; kwa kuwa ni ndugu yako; usimchukie Mmisri, kwa kuwa ulikuwa mgeni katika nchi yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo