Mwanzo 35:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mungu akamtokea Yakobo tena, aliporudi kutoka Padan-aramu akambariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-Aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-Aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki. Tazama sura |