Mwanzo 35:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi Yakobo akafika Luzu, katika nchi ya Kanaani, ndio Betheli, yeye na watu wote waliokuwa pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, Yakobo akawasili Luzu yaani Betheli katika nchi ya Kanaani, pamoja na watu wote aliokuwa nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, Yakobo akawasili Luzu yaani Betheli katika nchi ya Kanaani, pamoja na watu wote aliokuwa nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, Yakobo akawasili Luzu yaani Betheli katika nchi ya Kanaani, pamoja na watu wote aliokuwa nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Yakobo na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafika Luzu (ndio Betheli), katika nchi ya Kanaani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Yakobo na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafika Luzu (ndio Betheli), katika nchi ya Kanaani. Tazama sura |