Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 35:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Siku za Isaka zilikuwa miaka mia moja na themanini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Isaka alikuwa na miaka 180

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Isaka alikuwa na miaka 180

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Isaka alikuwa na miaka 180

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Isaka aliishi miaka mia moja na themanini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Isaka aliishi miaka 180.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 35:28
5 Marejeleo ya Msalaba  

Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.


Abrahamu aliishi miaka mia moja na sabini na mitano.


Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi umri wake Yakobo ulikuwa miaka mia moja na arubaini na saba.


Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.


Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia moja na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo