Mwanzo 35:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Kisha akasafiri Israeli akapiga hema yake upande wa pili wa mnara wa Ederi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Israeli akaendelea na safari yake na kupiga kambi yake baada ya kuupita mnara wa Ederi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Israeli akaendelea na safari yake na kupiga kambi yake baada ya kuupita mnara wa Ederi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Israeli akaendelea na safari yake na kupiga kambi yake baada ya kuupita mnara wa Ederi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema baada ya kupita Mnara wa Ederi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi. Tazama sura |