Mwanzo 35:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Akafa Raheli, akazikwa katika njia ya Efrata, ndio Bethlehemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Raheli akafariki na kuzikwa kando ya njia iendayo Efratha (yaani Bethlehemu). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Raheli akafariki na kuzikwa kando ya njia iendayo Efratha (yaani Bethlehemu). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Raheli akafariki na kuzikwa kando ya njia iendayo Efratha (yaani Bethlehemu). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa hiyo Raheli akafa, na akazikwa kando ya njia iendayo Efrata (ndio Bethlehemu). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu). Tazama sura |
Utakapoondoka kwangu leo, utakutana na wanaume wawili karibu na kaburi la Raheli, katika mpaka wa Benyamini huko Selsa; nao watakuambia, Punda hao uliokwenda kuwatafuta wameonekana; na tazama, baba yako ameacha kufikiri habari za punda, anafikiri habari zenu, akisema, Nifanye nini kwa ajili ya mwanangu?