Mwanzo 35:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Ikawa alipokuwa anashikwa sana na uchungu, mkunga akamwambia, Usiogope, maana sasa utamzaa mwanamume mwingine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Naye alipokuwa katika uchungu huo, mkunga akamwambia, “Usiogope, umepata mtoto mwingine wa kiume.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Naye alipokuwa katika uchungu huo, mkunga akamwambia, “Usiogope, umepata mtoto mwingine wa kiume.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Naye alipokuwa katika uchungu huo, mkunga akamwambia, “Usiogope, umepata mtoto mwingine wa kiume.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Alipokuwa katika shida hii katika kujifungua, mkunga akamwambia, “Usiogope, kwa sababu umempata mwana mwingine.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Alipokuwa katika shida hii katika kujifungua, mkunga akamwambia, “Usiogope, kwa sababu umempata mwana mwingine.” Tazama sura |