Mwanzo 35:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Mungu akakwea juu kutoka kwake mahali hapo aliposema naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, baada ya kuongea na Yakobo, Mungu akamwacha na kupanda juu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, baada ya kuongea na Yakobo, Mungu akamwacha na kupanda juu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, baada ya kuongea na Yakobo, Mungu akamwacha na kupanda juu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kisha Mungu akapanda juu kutoka kwake mahali pale alipozungumza naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kisha Mungu akapanda juu kutoka kwake mahali pale alipozungumza naye. Tazama sura |