Mwanzo 35:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na nchi hii niliyowapa Abrahamu na Isaka nitakupa wewe, na uzao wako baada yako nitawapa nchi hiyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaka, nitakupa wewe na wazawa wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaka, nitakupa wewe na wazawa wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaka, nitakupa wewe na wazawa wako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nchi niliyowapa Ibrahimu na Isaka nakupa wewe pia, nami nitawapa wazao wako baada yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nchi niliyowapa Ibrahimu na Isaka nakupa wewe pia, nami nitawapa wazao wako baada yako.” Tazama sura |