Mwanzo 34:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Wakachukua kondoo wao, na ng'ombe wao, na punda wao, na vitu vilivyokuwamo mjini, na vile vilivyokuwako kondeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Walichukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na chochote kilichokuwa mjini au shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Walichukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na chochote kilichokuwa mjini au shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Walichukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na chochote kilichokuwa mjini au shambani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Wakateka kondoo na mbuzi, ng’ombe, punda, na kila kitu kilichokuwa ndani ya mji ule na mashambani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Wakachukua kondoo na mbuzi, ng’ombe, punda na kila kitu kilichokuwa chao ndani ya mji ule na mashambani. Tazama sura |