Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 34:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Je! Kondoo zao, na mali zao, na wanyama wao wote hawatakuwa mali zetu? Basi na tupatane nao tu, nao watakaa kwetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Je, hamwoni kwamba mifugo yao na mali yao yote itakuwa mali yetu? Haya, tukubaliane nao ili wakae pamoja nasi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Je, hamwoni kwamba mifugo yao na mali yao yote itakuwa mali yetu? Haya, tukubaliane nao ili wakae pamoja nasi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Je, hamwoni kwamba mifugo yao na mali yao yote itakuwa mali yetu? Haya, tukubaliane nao ili wakae pamoja nasi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Je, si mifugo yao, mali yao na wanyama wao wengine wote watakuwa wetu? Basi tukubali sharti lao, nao wataishi miongoni mwetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Je, si mifugo yao, mali zao na wanyama wao wengine wote watakuwa wetu? Basi na tuwape kibali, nao wataishi miongoni mwetu.”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 34:23
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini kwa sharti hiyo moja tu watapatana nasi wakae wote kwetu, tuwe watu wamoja, kama tukitahiriwa kila mwanamume, kama wao walivyotahiriwa.


Wakawasikia Hamori na Shekemu mwanawe, wote watokeao katika lango la mji wake. Wakatahiriwa kila mwanamume, wote watokao katika lango la mji wake.


Mtu mwaminifu atakuwa na baraka tele; Lakini afanyaye haraka kuwa tajiri hakosi ataadhibiwa.


akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, Yaondoeni haya; msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa nyumba ya biashara.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo