Mwanzo 34:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Lakini kwa sharti hiyo moja tu watapatana nasi wakae wote kwetu, tuwe watu wamoja, kama tukitahiriwa kila mwanamume, kama wao walivyotahiriwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Lakini wao watakubali kuishi nasi na tutakuwa jamaa moja kwa sharti hili: Kwamba tutamtahiri kila mwanamume miongoni mwetu kama wao walivyotahiriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Lakini wao watakubali kuishi nasi na tutakuwa jamaa moja kwa sharti hili: Kwamba tutamtahiri kila mwanamume miongoni mwetu kama wao walivyotahiriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Lakini wao watakubali kuishi nasi na tutakuwa jamaa moja kwa sharti hili: kwamba tutamtahiri kila mwanamume miongoni mwetu kama wao walivyotahiriwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Lakini wanaume hawa watakubali kuishi nasi kama watu wamoja nao kwa sharti kwamba wanaume wetu watahiriwe, kama wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Lakini watu hao watakuwa tayari kukubali kuishi nasi kama watu wamoja nao kwa sharti kwamba wanaume wetu watahiriwe, kama wao. Tazama sura |