Mwanzo 34:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nanyi mtakaa nasi, na nchi hii itakuwa mbele yenu; kaeni, na kufanya biashara humo, mkapate mali humo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kwa hiyo mtaishi pamoja nasi; mtakuwa huru katika nchi hii. Mtaishi humu, mfanye biashara na kujipatia mali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kwa hiyo mtaishi pamoja nasi; mtakuwa huru katika nchi hii. Mtaishi humu, mfanye biashara na kujipatia mali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kwa hiyo mtaishi pamoja nasi; mtakuwa huru katika nchi hii. Mtaishi humu, mfanye biashara na kujipatia mali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwaweza kuishi nasi, nchi ni wazi kwenu. Ishini ndani yake, mfanye biashara humu na mjipatie mali.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mwaweza kuishi katikati yetu, nchi ni wazi kwenu. Ishini ndani yake, fanyeni biashara humu na mjipatie mali.” Tazama sura |