Mwanzo 33:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Basi Esau akarudi siku ile ile akishika njia yake mpaka Seiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, siku hiyo Esau akaanza safari ya kurudi Seiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, siku hiyo Esau akaanza safari ya kurudi Seiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, siku hiyo Esau akaanza safari ya kurudi Seiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hivyo siku hiyo Esau akashika njia, akarudi Seiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hivyo siku hiyo Esau akashika njia akarudi Seiri. Tazama sura |