Mwanzo 33:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Kisha Esau akamwambia, Twende zetu, tusafiri, nami nitakutangulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Esau akasema, “Haya! Tuendelee na safari yetu; mimi nitakutangulia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Esau akasema, “Haya! Tuendelee na safari yetu; mimi nitakutangulia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Esau akasema, “Haya! Tuendelee na safari yetu; mimi nitakutangulia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ndipo Esau akasema, “Tuendelee na safari; nitakusindikiza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ndipo Esau akasema, “Na tuendelee na safari, nitakuwa pamoja nawe.” Tazama sura |