Mwanzo 32:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Jua likamzukia akivuka Penueli, akachechemea kwa sababu ya paja la mguu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Yakobo alipoondoka Penueli; akawa anachechemea kwa sababu ya kiuno chake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Yakobo alipoondoka Penueli; akawa anachechemea kwa sababu ya kiuno chake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Jua lilikuwa limekwisha chomoza wakati Yakobo alipoondoka Penueli; akawa anachechemea kwa sababu ya kiuno chake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Jua lilikuwa linachomoza Yakobo alipoondoka Penueli, naye alikuwa akichechemea kwa sababu ya nyonga yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Jua lilikuwa linachomoza Yakobo alipoondoka Penueli, naye alikuwa akichechemea kwa sababu ya nyonga yake. Tazama sura |