Mwanzo 32:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Yakobo akapaita mahali pale, Penieli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Yakobo akapaita mahali hapo Penueli, akisema, “Nimemwona Mungu uso kwa uso, nami sikufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yakobo akapaita mahali hapo Penueli, akisema, “Nimemwona Mungu uso kwa uso, nami sikufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yakobo akapaita mahali hapo Penueli, akisema, “Nimemwona Mungu uso kwa uso, nami sikufa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli, akisema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso, na bado uhai wangu umehifadhiwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli, akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.” Tazama sura |