Mwanzo 32:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Kisha yule mtu akamwambia Yakobo, “Niache niende zangu, kwani kunapambazuka.” Lakini Yakobo akamwambia, “Sikuachi kamwe, mpaka umenibariki!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kisha yule mtu akamwambia Yakobo, “Niache niende zangu, kwani kunapambazuka.” Lakini Yakobo akamwambia, “Sikuachi kamwe, mpaka umenibariki!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kisha yule mtu akamwambia Yakobo, “Niache niende zangu, kwani kunapambazuka.” Lakini Yakobo akamwambia, “Sikuachi kamwe, mpaka umenibariki!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ndipo yule mtu akasema, “Niache niende, kwa kuwa ni mapambazuko.” Lakini Yakobo akajibu, “Sitakuacha uende usiponibariki.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Ndipo yule mtu akasema, “Niache niende, kwa kuwa ni mapambazuko.” Lakini Yakobo akajibu, “Sitakuacha uende usiponibariki.” Tazama sura |