Mwanzo 32:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Yakobo alibaki peke yake. Mtu mmoja akaja, akapigana naye mwereka mpaka alfajiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Yakobo alibaki peke yake. Mtu mmoja akaja, akapigana naye mwereka mpaka alfajiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Yakobo alibaki peke yake. Mtu mmoja akaja, akapigana naye mwereka mpaka alfajiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake; naye mtu mmoja akashikana naye mweleka hadi mapambazuko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake na mtu mmoja akashikana naye mweleka mpaka mapambazuko. Tazama sura |