Mwanzo 32:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 mbuzi majike mia mbili, mbuzi dume ishirini, kondoo majike mia mbili, na kondoo dume ishirini; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mbuzi majike 200 na mabeberu 20, kondoo majike 200 na madume 20, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mbuzi majike 200 na mabeberu 20, kondoo majike 200 na madume 20, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 mbuzi majike 200 na mabeberu 20, kondoo majike 200 na madume 20, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 beberu ishirini na mbuzi jike mia mbili, kondoo dume ishirini na kondoo jike mia mbili, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200. Tazama sura |