Mwanzo 31:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Hivi Mungu akamnyang'anya mali yake baba yenu, na kunipa mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ndivyo Mungu alivyochukua wanyama wa baba yenu, akanipa mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ndivyo Mungu alivyochukua wanyama wa baba yenu, akanipa mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ndivyo Mungu alivyochukua wanyama wa baba yenu, akanipa mimi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi. Tazama sura |