Mwanzo 31:55 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC55 Labani akaondoka asubuhi na mapema, akawabusu wanawe na binti zake, akawabariki; kisha Labani akaenda zake, akarudi kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 Asubuhi na mapema Labani akaamka, akawabusu wajukuu na binti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 Asubuhi na mapema Labani akaamka, akawabusu wajukuu na binti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 Asubuhi na mapema Labani akaamka, akawabusu wajukuu na binti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Kesho yake asubuhi na mapema, Labani akawabusu wajukuu zake na binti zake, na kuwabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Kesho yake asubuhi na mapema, Labani akawabusu wajukuu zake, binti zake na kuwabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani. Tazama sura |