Mwanzo 31:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC51 Labani akamwambia Yakobo, Tazama rundo hili la mawe haya utazame na nguzo niliyoisimika kati ya mimi na wewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi. Tazama sura |