Mwanzo 31:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC49 na Mispa, maana alisema, Mungu avizie kati ya mimi na wewe, wakati tusipoonana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 na ile nguzo akaiita Mizpa akisema, “Mwenyezi-Mungu na atulinde tuwapo mbali bila kuonana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 na ile nguzo akaiita Mizpa akisema, “Mwenyezi-Mungu na atulinde tuwapo mbali bila kuonana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 na ile nguzo akaiita Mizpa akisema, “Mwenyezi-Mungu na atulinde tuwapo mbali bila kuonana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Pia liliitwa Mispa, kwa sababu alisema, “Mwenyezi Mungu na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati hatuko pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Pia liliitwa Mispa, kwa sababu alisema, “bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine. Tazama sura |