Mwanzo 31:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Hii ilikuwa hali yangu; mchana jua likanipata, na baridi usiku, usingizi ukanitoka machoni mwangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Hivyo, mchana nilistahimili jua kali na usiku baridi ilinipiga hata nisiweze kupata usingizi hata kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Hivyo, mchana nilistahimili jua kali na usiku baridi ilinipiga hata nisiweze kupata usingizi hata kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Hivyo, mchana nilistahimili jua kali na usiku baridi ilinipiga hata nisiweze kupata usingizi hata kidogo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Hali yangu imekuwa hivi: Nimechomwa kwa joto la mchana, na kupigwa na baridi usiku, pia usingizi ulinipotea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Hii ndiyo iliyokuwa hali yangu: Niliumia kwa joto la mchana na baridi usiku, pia usingizi ulinipa. Tazama sura |