Mwanzo 31:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Yakobo akatuma watu ili kuwaita Raheli na Lea waje malishoni kwenye mifugo wake. Akawaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi Yakobo akataka Raheli na Lea waitwe; nao wakamwendea mbugani alikokuwa anachunga wanyama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi Yakobo akataka Raheli na Lea waitwe; nao wakamwendea mbugani alikokuwa anachunga wanyama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi Yakobo akataka Raheli na Lea waitwe; nao wakamwendea mbugani alikokuwa anachunga wanyama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hivyo Yakobo akatuma ujumbe kwa Raheli na Lea waje malishoni kwenye makundi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hivyo Yakobo akatuma ujumbe kwa Raheli na Lea waje machungani yalikokuwa makundi yake. Tazama sura |