Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 31:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Yakobo akajibu, akamwambia Labani, Kwa sababu niliogopa, nikasema, Usije ukaninyang'anya binti zako kwa nguvu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Yakobo akamjibu, “Niliogopa kwa sababu nilidhani ungelininyanganya binti zako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Yakobo akamjibu, “Niliogopa kwa sababu nilidhani ungelininyanganya binti zako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Yakobo akamjibu, “Niliogopa kwa sababu nilidhani ungelininyang'anya binti zako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Yakobo akamjibu Labani, “Niliogopa, kwa sababu nilifikiri ungeweza kuninyang’anya binti zako kwa nguvu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Yakobo akamjibu Labani, “Niliogopa, kwa sababu nilifikiri ungeweza kuninyang’anya binti zako kwa nguvu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 31:31
5 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akasema, Kwa kuwa niliona, hakika hapana hofu ya Mungu mahali hapa, nao wataniua kwa ajili ya mke wangu.


Basi sasa, umetoka kwa sababu umetamani sana nyumba ya baba yako. Mbona basi umeiiba miungu yangu?


Awaye yote utakayemwona kuwa nayo miungu yako, yeye asiishi. Mbele ya ndugu zetu ukitambue kilicho chako kwangu, ukakichukue. Maana Yakobo hakujua ya kwamba Raheli ameiiba.


Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo