Mwanzo 31:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Wala hukuniacha niwabusu wanangu, na binti zangu; basi umetenda upumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Mbona hukunipa fursa ya kuwabusu kwaheri binti zangu na wajukuu zangu? Kweli umetenda kipumbavu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Mbona hukunipa fursa ya kuwabusu kwaheri binti zangu na wajukuu zangu? Kweli umetenda kipumbavu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Mbona hukunipa fursa ya kuwabusu kwaheri binti zangu na wajukuu zangu? Kweli umetenda kipumbavu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Hata hukuniruhusu niwabusu wajukuu zangu na kuwaaga binti zangu. Umefanya kitu cha kipumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Hata hukuniruhusu niwabusu wajukuu zangu na kuwaaga binti zangu. Umefanya kitu cha kipumbavu. Tazama sura |