Mwanzo 31:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Labani akamfikia Yakobo, na Yakobo alikuwa amepiga hema zake katika mlima, na Labani na ndugu zake wakapiga hema zao katika nchi ya milima ya Gileadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Basi, Labani akamfikia Yakobo. Wakati huo Yakobo alikuwa amepiga kambi yake milimani. Labani naye, pamoja na ndugu zake, akapiga kambi yake kwenye milima ya Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Basi, Labani akamfikia Yakobo. Wakati huo Yakobo alikuwa amepiga kambi yake milimani. Labani naye, pamoja na ndugu zake, akapiga kambi yake kwenye milima ya Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Basi, Labani akamfikia Yakobo. Wakati huo Yakobo alikuwa amepiga kambi yake milimani. Labani naye, pamoja na ndugu zake, akapiga kambi yake kwenye milima ya Gileadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Yakobo alikuwa amepiga hema lake katika nchi ya vilima ya Gileadi wakati Labani alimfikia; naye Labani na jamaa yake wakapiga kambi huko pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Yakobo alikuwa amepiga hema lake katika nchi ya vilima katika Gileadi wakati Labani alipomkuta, Labani na jamaa yake wakapiga kambi huko pia. Tazama sura |