Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 31:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Hata siku ya tatu Labani akaambiwa ya kwamba Yakobo amekimbia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Siku ya tatu, Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 31:22
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akajitenga na Yakobo mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akachunga wanyama wa Labani waliosalia.


Basi akakimbia yeye na yote aliyokuwa nayo; akaondoka akauvuka mto, na kuelekea kwenye nchi ya milima ya Gileadi.


akatwaa ndugu zake pamoja naye, akamfuata mwendo wa siku saba. Akampata katika mlima wa Gileadi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo