Mwanzo 31:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Ndipo Yakobo akaondoka, akapandisha wanawe na wakeze juu ya ngamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, Yakobo akajitayarisha kusafiri, akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, Yakobo akajitayarisha kusafiri, akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, Yakobo akajitayarisha kusafiri, akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Ndipo Yakobo akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ndipo Yakobo akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia, Tazama sura |